RASTAFARI MWENYE NYWELE NDEFU KULIKO WOTE TANZANIA

Najua kwa wale watu wenye iman za kirasta wanatamani Kujua....

Huyu ndiye rasta mwenye nywele kubwa zaid kwa tanzania Nywele zake zina urefu unao lingana na yeye na kumpita , Anaishi Mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Moshi vijijini , jimbo la Vunjo , kata ya Mamba Kaskazini kijiji kiitwacho Kokirie,... Rasta Huyu kajizolea Umaarufu kwa kutunza nywele zake hadi kufikia urefu huo ....

Kwa jina anaitwa Edward Salibaba Mmbando

Comments

  1. Hongera sana ila Vipi hupati usumbufu wowote rule na izo nywele zako?

    ReplyDelete
  2. Duuuuu hongera bladha ila maji unatumia ndoo ngap?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

UJUE UMBALI KUTOKA DAR KWENDA MIKOA MBALIMBALI..

WATU WEUSI TUNA AKILI NDOGO ???