ALIEJIUZURU UBUNGE CUF KUGOMBEA TENA KWA TIKETI YA CCM

Aliyekuwa mbunge wa wa Kinondoni kupitia CUF, kisha kujiuzulu na kuhamia CCM, Maulid Mtulia ametangaza nia ya kugombea tena ubunge jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

- Kupitia akaunti ya mtando wake wa kijamii, Mtulia amewaomba radhi wana Kinondoni kwa maumivu aliyowasababishia na kusema yupo tayari kuwaletea maendeleo kupitia CCM

Comments

Popular posts from this blog

UJUE UMBALI KUTOKA DAR KWENDA MIKOA MBALIMBALI..

RASTAFARI MWENYE NYWELE NDEFU KULIKO WOTE TANZANIA

WATU WEUSI TUNA AKILI NDOGO ???