Posts

Showing posts from December, 2017

BREAKING SAD: Hon Gilfred Powys Owner of Suyian Ranch Trampled and KILLED By Elephant

Image
Laikipia rancher Gilfred Powys was Wednesday trampled to death by an elephant in news that has shocked residents and ranchers in the region. The owner of Suyian ranch in Laikipia North was patrolling the ranch when he was attacked by the animal. According to workers at the ranch, he was going through normal patrols at around 2pm when the animal attacked him. They said that they heard a commotion in one of the bushes and when they went to check what was happening is when they found the rancher lying dead. A herd of elephants was grazing nearby. “He was going through his normal patrols and we suspect that was when he was attacked. We heard the elephants charge and that was what prompted us to visit the scene. We were shocked to find that he had already been killed” said Joseph Eleman. He noted that they called other workers and informed the police.

Briton Laura Plummer jailed for three years in Egypt for drug smuggling

Image
Laura Plummer, 33, a shop worker from Hull, was arrested as she entered the country carrying 320 tramadol tablets in her suitcase. Her family said they were for her Egyptian partner, Omar Caboo, who suffers from severe back pain and claimed Ms Plummer, who they describe as "daft", had no idea what she was doing was illegal. Image: Laura Plummer and Omar Caboo Tramadol, a painkiller, is a class C drug that is banned in Egypt but legal in the UK. However, it is only available when prescribed by a doctor or other healthcare professional and it is illegal for anyone else to supply it. Laura's sister, Rachel, said her mother, Roberta Sinclair, who travelled to Egypt for the hearings, was distraught over the sentence. She said: "My mum's obviously devastated. She's out there by herself." The family have lodged an immediate appeal, but Rachel said she did not know whether it would be heard on Tuesday. She said: "We're just hoping. Even

2017:THE YEAR OF HIGH NUMBER OF ROAD CRASHES

Image
Kenya loses an average of 3,000 lives through road accidents annually, placing it among countries with the highest road carnage globally. As a result, the government, through various players, has tried to put mechanisms in place to reduce these incidents. This started in 2014 with the introduction and publication of the Legal Notice No. 23 in the Kenya Gazette which outlines guidelines on management of public service vehicles. The legal notice spells guidelines for night travel, a requirement that PSVs form saccos, and for long- distance trucks to be fitted with a fleet management systems. It also states that PSV operators employ staff on contract and bold display the names of the Saccos or companies which their vehicles are registered. These measures were aimed at making the PSV operators can take full control of their businesses, a move that NTSA said will instil discipline in the sector. However, the recent happenings where dozens of people have been killed and scores

UJUE UMBALI KUTOKA DAR KWENDA MIKOA MBALIMBALI..

Image
IIJUE TANZANIA NA MIKOA YAKE UMBALI WA KUTOKA DAR - ES - SALAAM KUELEKEA MAKAO MAKUU YA BAADHI YA MIKOA MINGINE HAPA NCHINI. (REGIONAL MAIN ROUTES). 1. DAR - ARUSHA: 646 KM 2. DAR - KAHAMA: 961 KM 3. DAR - BABATI via moro: 876 KM 4. DAR - BARIADI: 1127 KM 5. DAR - BUKOBA via kahama: 1433 KM 6. DAR - DODOMA: 451 KM 7. DAR - GEITA: 1228 KM 8. DAR - IRINGA: 492 KM 9. DAR - KIBAHA: 35 KM 10. DAR - KIGOMA via Itigi: 1258 KM 11. DAR - KIGOMA via Kahama: 1476 KM 12. DAR - LINDI: 452 KM 13. DAR - MBEYA: 822 KM 14. DAR - MOROGORO: 192 KM 15. DAR - MOSHI: 566 KM 16. DAR - MPANDA via Itigi: 1383 KM 17. DAR - MTWARA: 556 KM 18. DAR - MUSOMA: 1370 KM 19. DAR - MWANZA: 1152 KM 20. DAR - NJOMBE: 710 KM 21. DAR - SHINYANGA: 989 KM 22. DAR - SINGINDA: 696 KM 23. DAR - SONGEA via Moro: 949 KM 24. DAR - SONGEA via Lindi: 1054 KM 25. DAR - SUMBAWANGA: 1150 KM 26. DAR - TABORA: 829 KM 27. DAR - TANGA: 354 KM --------------

ALIEJIUZURU UBUNGE CUF KUGOMBEA TENA KWA TIKETI YA CCM

Image
Aliyekuwa mbunge wa wa Kinondoni kupitia CUF, kisha kujiuzulu na kuhamia CCM, Maulid Mtulia ametangaza nia ya kugombea tena ubunge jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Kupitia akaunti ya mtando wake wa kijamii, Mtulia amewaomba radhi wana Kinondoni kwa maumivu aliyowasababishia na kusema yupo tayari kuwaletea maendeleo kupitia CCM

NHC YAMTEUA NDG FELIX MANYAMA MAAGI KUWA KAIMU MKURUGENZI

Bodi ya Wakurugenzi NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Anachukua nafasi ya Nehemiah Mchechu aliyesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili...

ASKOFU MWINGIRA ADAIWA KUZAA NA MKE WA MTU.

Image
Heshima kwenu wakuu, Mahakani Kisutu: Askofu wa Makanisa ya Efatha Josephat Mwingira, amekataa katakata kupima DNA ili kutambua mtoto wa Dk. Phillis Nyimbi ambaye ni mke wa Dk. William Morris ni wa nani. Amedai hawezi kupima DNA wakati mtoto si wake. Baada ya Usikilizwaji wa kesi hiyo, Askofu Mwingira alipitishwa Mlango wa Nyuma kukwepa Kamera za Waandishi wa habari kinyume na Washitakiwa wengine ambao hupigishwa magoti mbele ya Camera. Hapa ndo nashindwa kuelewa kwanini Mahakamani wanafanya mambo ya Upendeleo. Wengine Wanaruhusu wapigwe picha wengine wanakataza. Ijumaa ya tarehe 15Dec 2017, Huyo mwanamke anayedaiwa kuzaa na Mwingira alitoa ushahidi wake. Alisema hajazaa na Mwingira wa Moris, bali alizaa na mfanyabiashara Mwingine tu. MKE wa Dk. William Morris, Dk. Philis Nyimbi, anayedaiwa kuzaa na Nabii Josephat Mwingira, alikana mahakamani kwamba haujui mwili wa nabii huyo wala hajawahi kuzaa naye. Anadai aliamua mwenyewe kuzaa mtoto na mfanyabiashara ambaye sasa ni marehemu

ROSE MUHANDO AJIUNGA RASMI NA CCM

Image
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.

MATANGAZO YA TV ZETU ZA KIBONGO KUKOSA MPANGILIO

Kweli nakubali kwamba sisi ni masikini sana na ili vyombo vya habari vijiendeshe vinahitaji fedha ambayo inatokana na matangazo,kinachoniudhi na kunikwaza ni pale ambapo unaangalia TV mara linatokea tangazo la sabuni mara 'Revola ni sabuni nzuri' baada ya dakika mbili unaona'Protex hulinda ngozi yako' kidogo tu unaona'Rungu ni sabuni bora' mara geisha mara sijui nini au katika mitandao ya simu ,ohh 'Vodacom inaongoza kidogo tu Celtel imeenea mara kidogo tu 'Tigo viwango nafuu' yaani ndani ya nusu saa matangazo kibao yote yanatangaza huduma moja sasa sisi watazamaji hasa mimi nashindwa kufanya uamuzi kipi bora,mimi nadhani vyombo vya habari vingekuwa na policy kama wanaamua kupromoti Revola au Tigo iwe ni siku nzima kama ili kuepuka kutuchanganyachanganya hivi...

WATU WEUSI TUNA AKILI NDOGO ???

JAMES Watson, mwanasayansi maarufu sana duniani na mshindi wa nishani ya Nobel katika tiba mwaka 1962, ameleta mjadala mkubwa baada ya kudai kwamba mtu mweusi ana akili ndogo kuliko mtu mweupe. Kauli yake hiyo imeshikiwa bango na wapinzani wa ubaguzi wa rangi kwa kuwa inamdhalilisha mtu mweusi. Huyu si mtu wa kwanza kusema hivyo, tofauti ni kwamba yeye ameisemea kisayansi zaidi. Siku za nyuma waziri mkuu mmoja wa Japan alipata kusema maneno kama hayo kwamba anatilia shaka uwezo wa mtu mweusi. Waziri mwingine wa Japan na yeye alishanukuliwa kusema hivyo hivyo. Wote baadaye waliomba radhi lakini ujumbe ulifika. Chika Onyeani katika kitabu chake cha Capitalist Nigger naye anashangaa ni kwa nini Mwafrika atukanwe namna hiyo na mawaziri wa Japan lakini bado waendelee kununua bidhaa toka Japan. Anaelezea pia kwamba jamii yote ya watu weusi inafanana kwa kiasi kikubwa. Kwa mfano ukikutana na Mmarekani mweusi aliyezaliwa na kukulia Marekani au Carribean au Afrika kwenyewe, bado wana tabia zile

MRADI WA MWENDOKASI WAWA UTALII

Image
Maafisa kumi na sita kutoka serikali ya Senegal wako nchini kwa ziara ya mafunzo ya namna ya uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza kutekeleza mradi kama huo mjini Darkar nchini Senegal. Mkuu wa msafara wa maafisa hao 16 kutoka Senegal amesema wamekuja Tanzania baada ya kuona mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika uendeshaji wa mradi huo na kwamba wanaamini kupitia Tanzania wataweza kujifunza namna nzuri ya uendeshaji wa BRT ambao wanatarajia kuanzisha mjini Darkar mapema mwaka 2021. Kaimu mtendaji mkuu wa wakala wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam amesema wako katika hatua za mwisho za kumtafuta mwekezaji mwingine atakayefanya kazi na UDART ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wa mradi huo huku akisema katika awamu ya pili wanatarajia kusafirisha abiria zaidi ya laki nne kwa siku. Watumiaji wa mabasi hayo yaendayo haraka wameiambia ITV kuwa tangu mradi huo kuanza umekuwa na manufaa makubwa ambapo sasa usafiri umerahisishwa tofauti na

RASTAFARI MWENYE NYWELE NDEFU KULIKO WOTE TANZANIA

Image
Najua kwa wale watu wenye iman za kirasta wanatamani Kujua.... Huyu ndiye rasta mwenye nywele kubwa zaid kwa tanzania Nywele zake zina urefu unao lingana na yeye na kumpita , Anaishi Mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Moshi vijijini , jimbo la Vunjo , kata ya Mamba Kaskazini kijiji kiitwacho Kokirie,... Rasta Huyu kajizolea Umaarufu kwa kutunza nywele zake hadi kufikia urefu huo .... Kwa jina anaitwa Edward Salibaba Mmbando